Tabia ya kupiga selfie msibani

sanchez255

Senior Member
Jun 9, 2015
171
312
Hii tabia imekuwa ndo kamtindo siku hizi.. watu wapo kwenye majonzi we unatoa simu yko unajipiga selfie!! Huu ni ushamba
7153c7fcbf5d6ffb86d403cdef91a91c.jpg
 
Inakua haujawaumiza lkn ukiumia hasa sidhani km utakumbuka ata kuvaa pichu. Ni mwendo wa kuchanganyikiwa na hasa kifo cha ghafla cha mtu unaemtegemea.
 
Mtu anajipiga hukua analia.

Sasa hayo Machozi ya kweli au maigizo
 
Back
Top Bottom