Nikopeshe nanii basiPole.nuna na ww au tafuta mpe
Mzee baba ukijifanya mtoaji sana kuendelea ni ngumuMimi siku hizi nmekuwa mchoyo matatizo ya watu hayaishi kbs unaweza kushindwa kununua hata matunda njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
WeeeeeeNikopeshe nanii basi
Mzee baba ukijifanya mtoaji sana kuendelea ni ngumu
Tabia hiyo anayo kaka yangu akikuomba umkopeshe pesa ukimwambia sina atanuna hatokupigia tena simu mpaka siku akiwa na shida nyingine na ukimkopesha kulipa mtihani.Wakuu hii tabia huwa inanishangaza sana, utakuta mtu amekuomba hela au kaomba umkopeshe.. Na wakati huo na wewe ukawa huna kitu au huoni matarajio ya kurudishiwa!!
Sasa huyu mtu kwa kumuheshimu tu unamjibu kwamba na wewe una hali ngumu hivyo ajaribu kwingine sasa..
Matokeo yake sasa, mtu ananuna na mawasiliano yanafia hapo... Alafu mtu wa namna hii ukute kabla mlikuwa mnawasiliana kila siku. Hata ukijaribu kumcheki utakuta hajibu kitu!!
Shida sana mkuu.. Mimi kuna dada angu kanikatia mawasiliano kabisa, wakati kiukweli siku anaazima hiyo hela siku na kitu na alikuwa anataka muda huo huo!!Tabia hiyo anayo kaka yangu akikuomba umkopeshe pesa ukimwambia sina atanuna hatokupigia tena simu mpaka siku akiwa na shida nyingine na ukimkopesha kulipa mtihani.
Achana nao, hata ukiwa kopesha utakuja kuoneka mbaya siku ya kudaiWakuu hii tabia huwa inanishangaza sana, utakuta mtu amekuomba hela au kaomba umkopeshe.. Na wakati huo na wewe ukawa huna kitu au huoni matarajio ya kurudishiwa!!
Sasa huyu mtu kwa kumuheshimu tu unamjibu kwamba na wewe una hali ngumu hivyo ajaribu kwingine sasa..
Matokeo yake sasa, mtu ananuna na mawasiliano yanafia hapo... Alafu mtu wa namna hii ukute kabla mlikuwa mnawasiliana kila siku. Hata ukijaribu kumcheki utakuta hajibu kitu!!
Hakuna deni gumu kama kumkopesha ndugu mimi nilikuwa namkopesha akinuna najipendekeza kwa kuwa ni kaka yangu baadae nikaona ujinga sasa hivi simu yake kupokea nijisikie tu nahitaji.Shida sana mkuu.. Mimi kuna dada angu kanikatia mawasiliano kabisa, wakati kiukweli siku anaazima hiyo hela siku na kitu na alikuwa anataka muda huo huo!!