[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno. Bora waegemee gari kuliko kukuegemea wewe maana ukikutwa na u r sweet cjui atakuelewaje...teh hee hee.,ukirudi home ingia nalo chumbani!
.utazoea lakini
...ha ha ha.,kwa hiyo avatar,wiki tu utakuwa Shetani plus!;[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno. Bora waegemee gari kuliko kukuegemea wewe maana ukikutwa na u r sweet cjui atakuelewaje
Teh teh teh teh [emoji12] [emoji12] [emoji12] ndukiiiiiiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...ha ha ha.,kwa hiyo avatar,wiki tu utakuwa Shetani plus!;
..usitoe macho,kuwa mpole!
Nimecheka kwa kweli...teh hee hee.,ukirudi home ingia nalo chumbani!
.utazoea lakini
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
huyyu hate home inaonekana bado yuko miaka 25 iliyopita au 30 enzi za baba kufungia TV kabatini [ wengi Tv walikuwa wanazionea kwa jirani ...],,,,alafu ikaja TV kuwa sitting room lakini kwenye grill la chuma kama bar,alafu ikaja tv kuwa kwenye kabati la mbao linafunguliwa wazee wakirudi ..bila shaka ndo gari yako ya kwanza kununua wamekuskia mkuu