Pole kwa yaliyokukuta. Inabidi hii ije pia na huku kwetu.Ilikuwepo kigoma (maeneo ya Kasulu)hii ilikomesha sana uzinzi.Unamtongoza mke wa mtu wanaongea na mumewe jinsi watakavyo tajirika kupitia tamaa yako.Na ukijichanganya unafirisika kwa kesi ya ugoni