Tabia na uzuri wa sura.

Ushawahi kupenda lakini???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe huyo ndo mwanamke wako wa kwanza kuwa nae???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama ndio bhasi Upo sahihi kuzidi kumganda..

Inshort nilishwahi penda demu mpaka nkawa nasema hata akienda akatolewa bikra akarudi akasema turudiane ningekubalii lakini baadae alivyooondoka nikaumia sana nikamove on aisee alikuja kurudi kweli lakini hata sikutaka kumuonaa sababu tayari nilipata mtu tunaependana sio ninaempenda ila yeye hanipendi... USIOGOPE KUWA SITAPATA MWINGINE KAMA YEYE hiyo hofu inabidi awe nayo mwanamke japo hiyo ndo Hofu kubwa ya wanaume wengi hasa ikiwa first Love.....


WAZURI WENGI SANAA..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli,,,,inaonyesha ukipenda upo serious,i wish nipate mtu serious ivyo mwenye kujali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No sio first yangu kaka...

Hivyi ishawahi kukutokeaa yaani unakuwa wanawake wengi wanjitokeza kutoka kwako unawasumbua unavyotaka wewe ila Sasa ikitokeaa ukaja kupendaa yule unampenda kweli inakuwaa inaumaa tu...[emoji29][emoji29] unasemaa bora Hata yule anayekupenda angekuwaa ndo yeye unayempndaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha alaf inavyotokeaa bahati mbaya wanaopendwaa hivyo wanakuwa hawajali....ila masikin wale wenye wenye mapenzi wanakuwa wanajali mambo kama hayo yawatokeee[emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tyuu,,,,,yani mm na boyfriend wangu,,,,, natamani afanye ivyo ila wapi,,,,,,afu watu ambao Sina mapenzi nao wanafanya adi kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeona sasaa...yaani inakuwaa vice versa.....unaeombaa angekuwa anarespond unayomfanyiaa yeye anakuwaa hana habari ila sasa ambaye hauna habri naye yeye ndo anakuwaa anarespond tenaa kwa kiwango kikubwaa
Acha tyuu,,,,,yani mm na boyfriend wangu,,,,, natamani afanye ivyo ila wapi,,,,,,afu watu ambao Sina mapenzi nao wanafanya adi kero

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikajua iyo ID yako inasadifu na maisha uliyomo sasa!! I mean labda ushakuwa wife mwenye material zake za satin ukawekwa ndanπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe umeweka tangazo
[emoji23][emoji23][emoji23]Wala ata,,,,naficha nisijulikane kuna ndugu kibao wanajua nick name zangu zote,,, now nachat nao kabisa hawajui kama n mm,,but nasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…