Kwani humu si kuna marafiki piampende anaekupenda sio unaempenda wewe.
halafu hizi mambo si za kutolea uzi najua huwezikosa wa kukushauri marafiki kitaani, skul au kazini.
jumaa maqboul.
Hahahhahahaha sawaa mamaTumia dawa tatu,.maumivu ya kichwa yakizdi kamuone daktari,.
eeh tupo sana tu, hata mimi nimekushauri pale juu
jinga saaanaTumia dawa tatu,.maumivu ya kichwa yakizdi kamuone daktari,.
jinga saaana
Mungu anakuona unajua??
Ww una wawili unataka kuwachambua upate moja,,,,unategemea nn upande wao
si umetaka ushauri??Ndo katakana iwe hivyo....labda akili sake ndipo zilipoishiaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Tee wife material ulikuwaa unataka nifanyaje bora nipaye mmoja ambaye atakekuwaa anipi stressWw una wawili unataka kuwachambua upate moja,,,,unategemea nn upande wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah ndio labdaa hapo ndo ilipoishia akili yako ya kutoa ushaurisi umetaka ushauri??
Sawa ila hakikisha atakayebaki uwe umempenda Kwa dhati,,,,,japo atakayeondoka ata[emoji24][emoji24][emoji24]Sasa Tee wife material ulikuwaa unataka nifanyaje bora nipaye mmoja ambaye atakekuwaa anipi stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Labdaa nikuulize kitu Tee wife materialSawa ila hakikisha atakayebaki uwe umempenda Kwa dhati,,,,,japo atakayeondoka ata[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nilikuwa nafurahi sana,,,kama Nina dakika nampigia,,,,na kama Sina namtxt mda huoPale unapokutaa miskol ya mtu wako umpendaye(Your hubby) kitu cha Kwanzaa unafanyaga nini..
Sent using Jamii Forums mobile app