Jamaa kasema ukweli, Mimi hiyo tabia nimeishuhudia huko Moshi.mmmh..... hii umetoa wapi.. kama unawasingizia ivi
Heshima kwenu wandugu,
Thadhari: Sina chuki binafsi
Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme, barabara n.k
Tabia yao mbaya ni tabia ya kuomba lift hasa kwenye private cars, yaani si kwamba kuna shida ya usafir la hasha ila kautafiti kadogo nilichokifanya ni kwamba wana save budget, yaani ni aibu sana. utakuta wazee, vijana na watoto wanakaa barabara kazi kusimamisha private cars wakikuta gari ya abiria wauchuna(baadhi) ili tu apate lift ya bure,
sasa najiuliza:-
-inakuaje mtu humjui na gari tinted sometimes lakini umeng'ang'ana kuomba lift ukitekwa je?
-Moshi na maeneo yake ya daladala nying kuliko hata idadi ya watu imekuaje mnaombaomba lift wajameni?
Acheni tabia mbaya tu.
Waambie waache ubahili....Wanasave hela wafanyie maendeleo,wewe Kwanza sio mchumi unafurumusha ligari lako la kubeba watu 6 uko pekeyako wenzio hawako hivyo
/na kujitegemea[emoji135]Maisha kusaidiana mkuu! Nini maana ya ujamaa?
nawe ulitaka tujue unagari, sasa hapo kibaya niniHeshima kwenu wandugu,
Thadhari: Sina chuki binafsi
Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme, barabara n.k
Tabia yao mbaya ni tabia ya kuomba lift hasa kwenye private cars, yaani si kwamba kuna shida ya usafir la hasha ila kautafiti kadogo nilichokifanya ni kwamba wana save budget, yaani ni aibu sana. utakuta wazee, vijana na watoto wanakaa barabara kazi kusimamisha private cars wakikuta gari ya abiria wauchuna(baadhi) ili tu apate lift ya bure,
sasa najiuliza:-
-inakuaje mtu humjui na gari tinted sometimes lakini umeng'ang'ana kuomba lift ukitekwa je?
-Moshi na maeneo yake ya daladala nying kuliko hata idadi ya watu imekuaje mnaombaomba lift wajameni?
Acheni tabia mbaya tu.
DuhWanasave hela wafanyie maendeleo,wewe Kwanza sio mchumi unafurumusha ligari lako la kubeba watu 6 uko pekeyako wenzio hawako hivyo
Wewe ni mwehu hakikaTabia mbaya zaidi ya wachaga haswa wa vijijini ni kupenda kuomba "kulamba viatu vya wageni".
HahahahaKweli huu mwezi mumewaamulia wachagga