za asubuhi wana MMU....
Jamani kuna hizi tabia mwenzenu zinanikwaza sana ...
1.unakuta mchana kweupe msichana anatembea na kanga moja kupita pita maeneo ya kwao mara yupo jikoni mara kapita kwenye korido mara huyo gheto anauliza una cd mpya ya kibongo!!! tena akitoka kuoga si unajua anakuwa amelowa kote baasi hapo ndo atataka akutoe roho!!!
2.msichana unapanga nae ahadi peke yake ila siku ya kukutana anakuja na kundi la marafiki zake ili akutie hasara sijui ndo tunakomoana!!!
3.upande wa wavulana kwenye daladala unakuta kama mmesimama basi atamsogelea msichana mpaka am'bambie kwa nyuma sijui huwa hawanaga mademu watu hawa!!!
badilikeni wadau huu si uungwana!!!
Hapo No.1 ukiona hivyo kuna anachotaka kwako - mpatie haraka iwezekenavyo kabla hajabadili mawazo, No. 2 Wasichana washamba wasiokuwa na ustaarabu ndio hufanya hivyo, No. 3 Hilo lilishasemwa sana na wataalamu wa afya - wavulana hao wana mifadhaiko.
za asubuhi wana MMU.
Jamani kuna hizi tabia mwenzenu zinanikwaza sana .
1.unakuta mchana kweupe msichana anatembea na kanga moja kupita pita maeneo ya kwao mara yupo jikoni mara kapita kwenye korido mara huyo gheto anauliza una cd mpya ya kibongo!!! tena akitoka kuoga si unajua anakuwa amelowa kote baasi hapo ndo atataka akutoe roho!!!
2.msichana unapanga nae ahadi peke yake ila siku ya kukutana anakuja na kundi la marafiki zake ili akutie hasara sijui ndo tunakomoana!!!
3.upande wa wavulana kwenye daladala unakuta kama mmesimama basi atamsogelea msichana mpaka am'bambie kwa nyuma sijui huwa hawanaga mademu watu hawa!!!
badilikeni wadau huu si uungwana Kabisa !
ila kama kuna kaukweli flani vile......!!!!Wala usikereke kihivyo ni taswira ya hali ya maisha...
- Kwingine wanakereka kuona wanaishi kwenye mjumba mkubwa wa watu wachache, kiasi kwamba anaandaa tafrija kila siku za kula ujana - huko bure lakini bado mnalalamika.
- Wengine wanawalaumu ma girl friend zao kwa kutokuwa na marafiki, mpaka wanawashangaa kwa kuishi peke yao kama eagle. huko wanakuja wengi mnawaona watia hasara.
- Wadada wengine wanahaha mpaka kwa wakina karumarinzira eti hawatongozwi wala hawana muenekano - huko kubambiwa free but bado malalamiko!
hii dunia haina usawa!!!!
Hivi khanga si nguo kama nguo nyingine?hivi nivae sketi kisha nifunge kanga si ujinga na kuchafua nguo!!