98mzavallah
Member
- Feb 13, 2015
- 37
- 12
Kweli kajitabia cha wafanyakazi wa supermarkets kutorudisha chenji ya shillingi 100 & 200 itakwisha lini?
Utasikia samahani kaka/ dada, sina sh 100. Mi sitaki kuamini ya kwamba mauzo ya siku nzima katika supermarkets inakosekana shilingi 100 na 200!.
Kwa sasa imekua kama ni kamchezo cha kujikusanyia pesa kwa hawa wadada wanaofanya hizi supermarket haswa ile ya Q... pale.
Tabia hiyo inatuboa wateja wenu, acheni.