Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Umenikumbusha mbali enzi za shule mi nilikuwaga cjui ulesbian bwana sasa kuna Dada alikuwa jike dume nashangaa ananipenda mno tusome wote na kuniangalia Mara anipapase nilikuwa nachefukwa namkimbia eeeh kumbe nikaja kuambiwq ni lesbian nilichoka. Mambo ya kunaniliana jinsia moja hunitia kichefu chefu mno
mm hata nwie desperate vipi swiez hayo maujinga..kwanza sijui hisia zao ziapatikajna mlanto gan wa faham jaman


