Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Kama ni mchuchu wako wa ukweli ulitaka akaache wapi kama sio kwakoUtakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo
Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs
Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi
Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi
Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!
We uavoingiza mademu wengine ni poa??????
Kama ni mchuchu wako wa ukweli ulitaka akaache wapi kama sio kwako
Madem gn hao? me sina tabia hiyo, nataka ajiamini bwana!
kama ni hivo si bora angezitundika tu hapo sebuleni kila mtu azione kuliko kuziacha chumbani
[FONT=century
gothic]Kujiamini ni pamoja na kuacha vitu vyake kwako bila pingamizi
toka kwako, vinginevyo imani yake kwako itapotea.[/FONT]
Madem gn hao? me sina tabia hiyo, nataka ajiamini bwana!
Sawa aviache kwangu lkn nivihifadhi kabatini sio vianikwe hadharani!
Mkuu sidhani kama huyo mchuchu anaweza acha hizo nguo hapo sebureni au hadhara ipi unayoisema wewe, pia kama ni chumbani sidhani kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani kwako katika hali ya kawaida.Sawa aache kwangu lkn nivihifadhi kabatini, sio viwekwe hadharani! what if bi mkubwa akaja kunitembelea akakuta vyupi vya kike vimezagaa maghetoni...
Katusemea sisi tuliopanga chumba kimojaMkuu sidhani kama huyo mchuchu anaweza acha hizo nguo hapo sebureni au hadhara ipi unayoisema wewe, pia kama ni chumbani sidhani kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani kwako katika hali ya kawaida.
Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo
Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs
Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi
Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi
Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!
Sawa mkuu nimekupata , ingekuwa hivyo sawa kabisa ingeeleweka, ila sidhani kama ni hivyo kwa huyu mleta mada maana hajasema anaishi mazingira gani, labda atakuja aseme hapa, ili tubadili mwelekeo wa mjadala huuKatusemea sisi tuliopanga chumba kimoja