Tabia hii ya dada zetu kubeba tissue hadharani na kuelekea uani hivi kweli inapendeza

Habari wadau,

Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kwa dada zetu kubeba tissu hadharani(kwenye mabaa, migahawa, n.k) na kuekekea uani (toilet ) bila shaka kujisadia.

Binafsi sina tatizo na matumizi ya karatasi hizo laini ila nashangazwa na tabia ya dada zetu kubeba karatasi hizo hadharani na kupita katikati ya watu bila kujali huku kila mtu anaona.

Je, tabia hii kweli inapendeza?

Je, huku ni kujisitiri?

Je, si kweli hata majumbani mwetu kuna baadhi ya watu huvizia watu wamepungua vibarazini ndio wajisikie huru kuingia chooni?

Au hii ndio new life style hivyo imekuwa ni kawaida tu?

Labda nilulize hivi; je, ni sahihi kujionyesha hadharani kuwa unaenda kujifuta/kupangusa sehemu zako za siri?
Kama mavazi aliyovaa yanaonyesha chupi au mstari wa tako na kitovu, ndo abebe tishu kwa kujisitiri?
 
Uzungu wa kuiga huu. Kwahiyo hizo tissue hazikai huko chooni, wanaweka kwenye mikoba yao? Kwa nini hawaibebi hiyo mikoba kwenda nayo chooni? Nimekumbuka hakuna pa kuiweka! Umasikini huu! Na ujinga.
Tissue hazikai chooni zinaibiwa! Kazi kweli kweli.
 
Tatizo hizo sehemu za mwili zinazobebewa hizo tissue, hazina hadhi wala unyeti siku hizi
 
Mmmh ebu acha hayo mambo. Kuna sehemu yes unaweza kutumia maji sababu kuna mabomba ya kunawia na tissue za kujikaushia.
Sasa umeenda sehemu kuna ndoo ina ukoko wa uchafu kopo chafu halafu unawie hayo maji. Unafikiri kwanini UTI ni ugonjwa wa kawaida siku hizi?

Tissue ni muhimu kwa mwanamke kutembea nayo sababu kunawanawa na maji ya ovyo ovyo ndio mwanzo wa kuokota magonjwa. Ukirudi nyumbani utajisafisha vyema lakini njiani tissue ni muhimu zaidi.

Na huwezi jua hali ya mwanamke mpaka uwe mwanamke.
Muhind na ww unajipangusa na tishu?
 
Ila nikibeba ndoo ya maji na kupita nayo sio tatizo? Au napo tutafanya mshindwe kunywa maji?
 
Hapo ndo raha ya kugonga manzi ambaye hujamzoea sana inapokuja. Lkn hawa wa kuwa nae kila siku unakuta mara avae pedi mbele yako mara aning'inize tissue kwenda kujipangusa huko chooni, yaani kwa sababu ya kuwamega kila wakati basi wanaona na sisi km mademu wenzao, mambo kibao mpaka hamu ya papuchi zao inapotea, hlf ukikinai mapema wanalaumu
 
Back
Top Bottom