Tabia hii haipendezi

Tabia hii haipendezi

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia
 
Hahahahaha!! Wifi vipi tayari?
Hivyo ndo tulivyo inawezekana nawe ushawahi kuuliza kwa kujua ama kutojua, la maana jifunze kupotezea walimwengu hasa wakati huu ukiwa na ndoa sababu yatakuja maneno mengii sana.
 
Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia

wakuache upumuweeeeee.......kwani ni lazima........siku hiyo hiyo.......
 
Jikumbushe labda na wewe ulikuwa na tabia kama hiyo ila umesahau, kama jibu ni ndiyo sasa ni wakati wako wa kulipiziwa. Samahani kama nitakuwa numekukwaza ila inatupasa kujua kwamba kile mtu usichopenda kutendewa, na mwenzako pia hapendi.
 
Hahahahahaah! Pole sana Walimwengu ndivyo tulivyo lazima tuulize ili tujue kama tayari.
 
Mwezi mmoja tu baada ya
ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi
huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana.
Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au
kuangalia matokeo badala ya kuulizia

Wachokozi hao wapotezee
 
Mandown wewe ukamwambiaje huyo aliyekuambia hivyo?

Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia
 
Last edited by a moderator:
Muhimu kujua....!!
Vp shemeji tayari.....? wanataka kujua kama unaweza au huwezi wakusaidie hahahaha....................!
Watu wabayaaaaaaaaaaa.....................!:biggrin:
 
mwezi kwetu mbona mkubwa?yaani mkioana leo kesho asubui wakija kuwatembelea baraza la wazee linakuita pembeni linakuuliza vipi kijana tayari!!!!!
 
Jikumbushe labda na wewe ulikuwa na tabia kama hiyo ila umesahau, kama jibu ni ndiyo sasa ni wakati wako wa kulipiziwa. Samahani kama nitakuwa numekukwaza ila inatupasa kujua kwamba kile mtu usichopenda kutendewa, na mwenzako pia hapendi.
hakuna sinaga tabia hiyo, huwa nanyamaza kimya, maranyingi huwa tuna taarifiwa kama shemeji kajifungua ili tukawajulie hali
 
mie nilikuwa nawapa jibu moja tu "haikuhusu"

kuna mmoja alidiriki kunipigia simu kuuliza kama tayari....kudadadeki hajarudia tena ....nilimvesha contena la maneno na nikamwambia mtoto wa kiume umbea haukufai kama vipi vyaa bikini na khanga tujue moja....wakati hata ilipokuwa tayari hawasaidii pamperz wala ada ya shule..

mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mkuu kwani shemeji bado?.. (i am kidding)
Kiukweli wanadamu huwa hatuachi kuulizauliza..vumilia tu ndio ukubwa!
 
Duh hii nayo kali, ndani ya mwezi tu maswali.

Hapo pagumu, wengine mikosi tu sasa
 
Kayla umeona wanadamu !!
 
Last edited by a moderator:
Duuh hiyo mapema sana,ndugu yangu aliolewa miezi takribani 18 ikapita kimya..mpaka nikaanza kuwa na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom