Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Na kwa wale wanaume wanaotaka kukaa siti moja na Binti..nunua siti ya kawaida..uwezekano wa kukaa na mrembo ni asilimia 80.
 
Huyu ni Mimi kwanza sijui kukaa mwenzio nkikaa nataka nikunje mguu...
napenda sana kusafiri na lift za watu ili niwe huru...kiukweli nawakeraga sana wanaopangwa na Mimi siti moja!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…