Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
its never too late, anza ku-adapt hizo tabia. maisha yako yatabadilika drastically.sina hata moja hapo
Mafanikio hayana tafsiri ya moja kwa moja. Pamoja na hayo wapo watu wengi sana wana hizo attributes lakini hawana mafanikio.
good for you..Nimejifunza Kitu.
Hakuna sehemu nimesema mafanikio ni pesa, nimekueleza mafanikio hayana tafsiri moja, read between the lineswengi wanadhani mafanikio ni pesa. wa kwanza nadhani ni ww. unawezaje kusema hana mafanikio mtu mwenye tabia hizi zote?
sote tutakufa, ila sio wote tutaishi. being alive doesn't mean you have a life.at the end wote watakufa
ni tabia ndio, wanatabia ya kuwekeza kwenye vitega uchumi vingi. tatizo lipo wapi mkuu?
ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio... miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio .
1. wana nidhamu
2. wachapa kazi
3. wanapenda kusoma vitabu
4. wanalala mapema na wanaamka mapema
5. wanajali sana muda wao
6. wanakula vizuri na kufanya mazoezi
7. wana marafiki wanaojitambua
8. wana vyanzo vingi vya mapato
9. hawakati tamaaa
10. wanajali afya zao.
hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
Think harder mkuuHizi Sifa zilikuwa rahisi sana Mtu kuwa nazo hasa kipindi cha kati ya mwaka 2005 hadi 2015 ila kwa kipindi kilichoanzia mwaka 2015 na ambacho kitaisha mwaka 2020 au 2025 na kwa hali iliyopo sasa kuwa na Mafanikio kama ulivyoainisha hapo juu ni ndoto tena za mchana kweupe kabisa.
Wana dharau, wanajibana kula, wanapenda kusifiwa, sehemu kubwa ya mafanikio yao imetokana na nguvu za giza, .............at the end wote watakufa