Tabia 10 mbaya zilizozoeleka makanisani mwetu

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Je, katika hizi una ipi ili utubu leo?* uwe tayari kwa Ibada njema Jumapili

Kuchati au kubofya bofya simu wakati wa Ibada.

Kukataa kuketi🪑 mahali umeelekezwa na wahudumu uketi. Hii inaonyesha jinsi gani ulivyomkaidi na hufuati utaratibu.

Upo kwenye Ibada ghafla unakimbia nje kupokea simu Huku ikiita kwa sauti za juu. Hii ni kukosa utii kwa Mungu wako.

Kuchelewa Ibadani.

Kuna watu hii imekua tabia sugu.

Kusinzia, kunong’onezana au kupiga story za chinichini wakati wa Ibada.

Kukaa bila sababu za msingi wakati wengine wamesimama au wakiwa wamepiga magoti. Hii ni kudharau Litrujia na kuwadharau viongozi wa Kanisa.

Kuangalia saa ya ukutani au saa ya mkononi wakati mahubiri yakiendelea.

Kutoshiriki kikamilifu kwenye huduma mbalimbali za kanisani.

Mfano wenzio wanaimba wewe unaangalia watu huyu kavaaje nk.

Kuondoka Ibadani kabla Ibada haijaisha. Tabia hii inaondoa uwepo kwa waumini wengine walio ibadani.

Kukusanyika nje ya kanisa wakati wa Ibada mkijadili mambo yenu.

Kama una tabia mojawapo kati ya hizi badilika Sasa hivi maana Mungu anapendezwa na mioyo ya unyenyekevu.
 
Sio kila unayemuona ameingia kanisani kafata ibada! Kuna mapepo mle, kuna vitoto vya shetani vimejihudhurisha ibadani. hata vibwengo vimo na ndio wenye tabia hizo unazositaja na nyingine!

Cha kufanya elewa umefata nini. fanya lililokupeleka badala ya kuanza kumshangaa mtu anayechati ibadani na anafanikiwa kukutoa kabisa ibadani...... fungunguka nyakati za mwisho hizi shetani halali... anakuwinda kwa hali zote! Utashangaa unaweza ona mtu anakukonyeza kanisani... kemea pepo hilo
 
11- Kuangalia mademu waliojaaliwa matako/ sura zenye mvuto

12- Kusikiliza jumla ya sadaka na matoleo ya wiki iliyopita, na kuanza kuzipangia matumizi

13- Kudindisha mara kwa mara hata bila sababu za msingi, hii inanileteaga shida sana tena kama nimechomekea shati......
 
Mungu anisaidie hapo kwenye kuchelewa tu... Afadhali siku hizi nawahi watu hajaingia
 
11- Kuangalia mademu waliojaaliwa matako/ sura zenye mvuto

12- Kusikiliza jumla ya sadaka na matoleo ya wiki iliyopita, na kuanza kuzipangia matumizi

13- Kudindisha mara kwa mara hata bila sababu za msingi, hii inanileteaga shida sana tena kama nimechomekea shati......
Wewe jamaa kweli ni mcheza viduku
 
11- Kuangalia mademu waliojaaliwa matako/ sura zenye mvuto

12- Kusikiliza jumla ya sadaka na matoleo ya wiki iliyopita, na kuanza kuzipangia matumizi

13- Kudindisha mara kwa mara hata bila sababu za msingi, hii inanileteaga shida sana tena kama nimechomekea shati......
Una pepo la ngono wewe
 
Namba13 iliwahi kunitokea japo halikua lengo langu
 
Kuchelewa ibadani

Hi ya simu kuita huwa natamani mhudumu apokonye simu aibamize chini.
Unakuta mwingine anapokea humohumo kanisani yaani kuna watu ni wajinga Sana.
Catholic ni kanisa la MUNGU?! Who told you?? Hao na devil worshipers ndy kanisa la MUNGU this must be a joke
Huwa inakera sana siku moja nikiwa kanisani akaingia dada mmoja kavaa viatu vya mchuchumio nguo zimembana haswa yaani zinamuonesha jinsi alivyo masharah yaani kanisa zima likageukia kwake jinsi visigino vya viatu vyake vilivyokuwa vinapiga kelele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom