kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Tangu nihamie tabata bima kila cku nakumbana na changamoto ya kuvunj shingo kusindikiza macho ya wadada wa watu wazuri.si reli,aroma,shule,bima,mawenzi,kimanga,magenge,barakuda,segerea,kinyerezi wala chang'ombe huku kumesheheni visura.ktk hili jiji kuna sehemu yenye watoto wazuri zaidi ya tabata kweli??...kwa bata ndo usiseme yaan watu wanatoka sehemu mbalimbali za jiji kuja forty forty,the great,KP,Kwetu pazuri,toroka uje, n.k.....cjawah juta kukaa mitaa hii
Unasema umehamia zamani ulikuwa unaishi wapi??? Mm naishi tabata huu Mwaka WA 4 nahizo baa unazozitaja zote siku yakufunguliwa nilihudhuria... Nataka kujua ulikokuwa unaishi kabla yakuhamia tabata .isije kuwa umetokea mbagala.Tangu nihamie tabata bima kila cku nakumbana na changamoto ya kuvunj shingo kusindikiza macho ya wadada wa watu wazuri.si reli,aroma,shule,bima,mawenzi,kimanga,magenge,barakuda,segerea,kinyerezi wala chang'ombe huku kumesheheni visura.ktk hili jiji kuna sehemu yenye watoto wazuri zaidi ya tabata kweli??...kwa bata ndo usiseme yaan watu wanatoka sehemu mbalimbali za jiji kuja forty forty,the great,KP,Kwetu pazuri,toroka uje, n.k.....cjawah juta kukaa mitaa hii
Karibu sana mkuu..kizuri kula na ndugu yakohehehehehe aisee sasa hiyo shingo soon itapata matatizo maana unaiova dozi,nitakuja unionyeshe kama kweli kuna totoz
Haya ni majaliwa tu na ajali kazini kama Padre kudindisha akiwa madhabahuniIla hata UKIMWI, Gono na Kaswende huko Tabata ndiko inakotiririkia na kusererekea Mkuu.
Nilikuwa upanga mkuuUnasema umehamia zamani ulikuwa unaishi wapi??? Mm naishi tabata huu Mwaka WA 4 nahizo baa unazozitaja zote siku yakufunguliwa nilihudhuria... Nataka kujua ulikokuwa unaishi kabla yakuhamia tabata .isije kuwa umetokea mbagala.
Kwahiyo watoto wazuri umekuja kuwaona tabata.Nilikuwa upanga mkuu
Hakika mkuuKwahiyo watoto wazuri umekuja kuwaona tabata.
Sana tuMkuu vipi umeopoa vitu au unaowaona tu