Tabata Kuna Viwanja!!

Karucee banaaa mwenzio nlivosoma heading tu nikawaza kubomoa kibubu changu
ninunue kiwanja kumbe ni mambo ya kuponda raha kufa kwaja???
thanks kwa mwaliko nitajoin maeneo soon....
 
Last edited by a moderator:
siyo rahisi sana wife wangu aruhusu mimi na wewe twende pamoja

Hivi ni kwanini ma wife wenu wa JF hawaniaminigi kiasi hiki?

lol.

Am not a hubby snatcher jamaniiiii.

Nimecheka sanaaaa. Thanks for the laugh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…