Mie naishi hapa jirani na Daraja, napata LTE network, itakuwa setting za simu yako, watafute upate msaada zaidi 0222100100Habari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Network ya ttcl ipo vizuri. Vyema ukahakiki upande wa kifaa unachotumia pengne setting zmebadilika ila mtandao upo saf muda wote.Habari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa hizi sio za kweli Network ipo muda wore mimi natokea maeneo hayoHabari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna matatizo na simu yako Yaani settings maana mimi naishi maeneo haya na ninaendelea kufaidia vifurushi vyao vipya ambavyo vimeboreshwa kwa kiwango cha juuHabari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kusoma tu thread yako tayari nimetambua utakuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 29, huna kazi maalumu ya kufanya, hukusoma mpaka level ya chuo kikuu , na huna malengo maalumu katika maisha yakoHabari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako, mm naishi kimanga na network napataHabari wanajamvi,
Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoani ndio iko poa sana. network iko fullIkiwa hapo dar inasumbua na mkioan c ndo kabsa chenga
god is good
ukiwa na 3G data na voice unapata kwa spidi hile hileBinafsi hapa nilipo inasoma 3G, kutakuwa na tatizo la kiufundi nadhani.
*148*00#Samahani mwenye kujua menyu ya vifurushi vya kimataifa kwa mtandao wa tigo naomba anifahamishe hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia naishi maeneo hayo mbona napata TTCL saafi tena 4GHabari wanajamvi,
Naishi Tabata Kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi.
Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi,