Tabata imevamiwa na wadangaji

Mkuu taratibu,tuhurumie na mbavu zetu

wil ia m ,
Mkuu,
Haaa haaa haa haaa.
Sielewi kasi ya dunia awamu hii ya tano Mjomba. Nawaza Sana hadi pumzi inakata kama mambo ndiyo yashakuwa hivyo.

Ushanifahamu ninachomaanisha mkuu!?
 
Kuna mmoja tulikutana kwenye mtandao wa Badoo anakaa sinza lions first time kuonana tukakaa sehem moja hivi kma outdoor space hivi imetulia.kumbe ndiyo eneo lake la kazi nikaagiza.bapa la konyagi na crest na yy akaagiza st Anna wakati wa maongezi huku tunakunywa yy alikuwa busy sana kuchat.kumbe alikuwa anachati na malaya wenzake.kuna mmojawapo alimtumia ujumbe mfupi wa maneno kuwa.naona danga limenasa umelipata wapi naona lipo vizuri.hiyo msg niliona kwa mbali kwa kuwa ni usiku simu zinakuwa na mwanga sana..hapo hapo nilichokq nikamuagizia mchemsho wa kuku na kuondoka
 
mkuu sema hao watoa stess za ndoa wakonvizuri maana buku 6 quality ya macho na kugusa gusa ipo kweli hapo? wanakaribiana na wale wakulee ambaye ukichukua halafu ukaenda nae sehemu kubembea watu wanaona kuwa una mtoto mkareee kumbe ume"lukuvi" tu imemkodi kwa soku hiyo tu
 
Naona kabisa mkuu ulipita makusudi ili upate danga la bei chee apo umekwepesha maelezo tu
 
Sababu ya kutopiga ni verry weak mzee....inanifanya niamini kwamba hili ni tangazo la kuhamasisha tuende.
 
Sababu ya kutopiga ni verry weak mzee....inanifanya niamini kwamba hili ni tangazo la kuhamasisha tuende.
 
Uliripoti polisi kwani wanatumia mwili wako?
 
Mkuu HV tukijaribu kuchukua sheria mkononi,tukaunda kikundi cha sungusungu,tukakisajili na kukitambulisha Kwa serikali,...hatuwez kutandika viboko hawa watu pa1 na wateja wao mwanzo mwisho Kwa mwez mzima patrol SAA 2 ucku hadi SAA kumi alfajir?
 
Hivi mtu unapigane cha fasta fasta eti, mi naona nikujipa mi hamu tu na wala usile ukashiba,
 
Mkuu HV tukijaribu kuchukua sheria mkononi,tukaunda kikundi cha sungusungu,tukakisajili na kukitambulisha Kwa serikali,...hatuwez kutandika viboko hawa watu pa1 na wateja wao mwanzo mwisho Kwa mwez mzima patrol SAA 2 ucku hadi SAA kumi alfajir?
Kwani wanaharibu mwili wako au miili yao,waache hao watu wanatusaidia kutuliza kiu Za fasta fasta,vipi mchana Huwa wanakwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…