Tabata hatuna maji wiki nzima

Yaani maji kutotoka wiki unakuja kulia lia humu? unajua kuna mamilioni ya watu hawajawahi kuunganishiwa maji na wananua maji kila siku au kutegemea maji ya mvua au kuchota kwenye mabwawa na madimbwi yanayotumiwa pia na mifugo!?
Sasa nchi tajiri hii inakuaje tena wananchi hawajawahi kuona maji ya bomba?
 
Mkuu mambo yote wazi
Wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
Mkuu uwe unajiongeza kabla yakucomment chochote.Tatizo sio bili bali maji hakuna maeneo yote ya tabata,tabata segerea,kinyerezi nakwingineko.

Kwahiyo watu wa marneo hayo ndo hawalipi bili sio?Mbona mimi kwangu sidaiwi hata mia lakini huduma ya maji hakuna zaidi ya wiki sasa.
 
Mkuu usiseme zaidi ya wiki.. Labda ilitokea hitilafu ya kiufundi na haiwezi kuzidi masaa 48 lazima serikali hii irudushe
Mimi Nafikiri watu wa tabata wanafikiria wataishi na kupata huduma bure kwa kujuana
 
BREAKING NEWS::::::: MAJI YAMESHARUDI. MDA HUU YAPO YANATOKA.
thread closed!
 
Mbunge wenu atakua mpinzani Ila kaingia kwa tiketi ya CCM.
Atawwchelewessha sana huyo
 
mrejesho:

maji yameanza kutoka. mapema tu.

ahsanteni JF na wanaJF.
 
Niliona barua ya dawasa juzi ikionyesha kuna ukarabati unaendelea mkuu,ila walisema ndani ya saa 24,kibongo bongo saa 24 ni siku 3 mpaka week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…