A Anonymous Guest Aug 8, 2026 #1 DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila siku. Tunaomba mtatue hii changamoto.
DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila siku. Tunaomba mtatue hii changamoto.
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,168 Reaction score 8,232 Aug 8, 2026 #2 Nyie wa Tabata tuko kwenye mpango wa kuwafungia mabomba ya bia badala ya maji .. Tafadhali kua mvumilivu wakati mradi ukiendelea
Nyie wa Tabata tuko kwenye mpango wa kuwafungia mabomba ya bia badala ya maji .. Tafadhali kua mvumilivu wakati mradi ukiendelea