Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,371
- 3,147
- Thread starter
- #21
Kwahiyo unataka kusemaje bwana mkubwa?Haya madude hamna lolote.ni vile tu kwa kuwa hawako wazi.wangekuwa wapo kila sehemu tusingeshuhudia matukio kama vile richmondi,kuletewa treni chakavu itakayotumika sgr,wahuni wasingekuwa wanatamba na kusema hadharani wanalamba asali.vilevile kama wapo kila mahali kusingekuwa na uchaguzi usiokuwa huru na haki.