Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
- Thread starter
-
- #21
hii thread me ndio naona leo ...duhhhh
Mkuu thread ya kutoka June mwanzoni hii. Kweli ulikuwa umepotea. Rugby za maisha nini? Kumaliza ubishi kesho tuma $ 500 lol
hahahahahahah lol
ngoja nilishe wajukuu kwanza lol
yap kweli m ndo naona leo , maisha ni zaidi ya rugby sasa hivi ..
Rudi nyumbani uchukue jimbo. Bungeni kumechafuka.
siasa mchezo mchafu bora nikae mbali ...
vipi we unaendeleaje na ile project ??
ukipata muda ingie upande wa pili tuongee..