Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
Asante kwa taarifa ndugu mwenyekiti na nikupongeze kwa kazi yako nzuri isiyokifaniTupo pamoja kulitimiza lengo!
Along with this message is my applause and gratitude for the wonderful job you have done today and days beforehand. May today's success be the beginning of tomorrow's achievements
Pamoja na hizi jitihada, si vibaya kuangalia wale ambao hupenda kutoa support kama vile kulipia printing, etc. some people waoga kuadvance cash kutokana na previous experiences zao
MAMA POROJO tafadhali kama una hoja kuhusu Amina Chifupa Foundation anzisha thread kuhusu hilo. Kuhusu nchi inatakiwa kuwa na foundations ngapi nakushauri ukaulize kwenye taasisi zinazohusika na usajili wa hizi taasisi. Btw, mbona mlipoanzisha Benjamin Mkapa Foundation haukusema msifanye hivyo ila mpanue majukumu ya Nyerere Foundation?Amina chifupa foundation imekwenda wapi?????????????? Nchi inatakiwa kuwa na foundation ngapi? Nyerere foundation, Mkapa foundation.
kwa nini wasipanue majukumu ya Nyerere foundation na kuichangia fedha zaidi kama ilivyo kwa Mandela foundation?
Amina chifupa foundation imekwenda wapi?????????????? Nchi inatakiwa kuwa na foundation ngapi? Nyerere foundation, Mkapa foundation.
kwa nini wasipanue majukumu ya Nyerere foundation na kuichangia fedha zaidi kama ilivyo kwa Mandela foundation?
Dili hilo wadau,
MAMA POROJO tafadhali kama una hoja kuhusu Amina Chifupa Foundation anzisha thread kuhusu hilo. Kuhusu nchi inatakiwa kuwa na foundations ngapi nakushauri ukaulize kwenye taasisi zinazohusika na usajili wa hizi taasisi. Btw, mbona mlipoanzisha Benjamin Mkapa Foundation haukusema msifanye hivyo ila mpanue majukumu ya Nyerere Foundation?
Kama huna mchango si lazima ku-comment.
kwa airtel money hairuhusiwi kwa watu wa mikoani?
Napongeza kwa kazi nzuri nitajitahidi kuchangia kuanzia wk ijayo tupo pamoja.
Huwa naamini katika kutoa zaidi kuliko kupokea Mungu awabariki.
Nashukuru kwa ufafanuzi nikikamilisha mchakato nitawataarifu.Mkuu Airtel Money inawezekana. Please tumia:
Maxence Mello - Mjumbe wa Bodi: +255 784 526 444
Kisha tujulishe kwa barua pepe sam@danimex.com