Taasisi ya Elimu Tanzania lipeni posho za walimu

Taasisi ya Elimu Tanzania lipeni posho za walimu

Opticnerve

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5
Reaction score
5
Kabla ya shule kufunguliwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) iliitisha semina kwa walimu wanaofundisha kidato cha V na VI nchi nzima, kuanzia 21-22/06/2025 katika vituo mbalimbali kwa kila wilaya.

Semina hiyo ilihusiana na kuwajengea uwezo walimu kuhusiana na mtaala ulioboreshwa na ni kama maandalizi ya kuwapokea kidato cha V kama walengwa wakuu.

TET ilitoa maelekezo walimu hao wangelipwa posho kwa siku hizo mbili. Baada ya semina karibu mwezi sasa walimu wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani hawajalipwa chochote huku hakuna mawasiliano tena na wahusika wa semina hiyo.
 
Back
Top Bottom