Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya yafuatayo:-
1. Je nitajuaje Kama Niko kwenye list ya CRB. Na taasisi zilizo ripoti Jina langu.
2. Je nitafutaje mkopo na Jina langu kwenye ripoti ya taasisi za CRB?
Msaada wenu tafadhali