uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,068
- 20,882
Ndugu zangu watanzania ninapenda kuchangia ufahamu nanyi kupitia mtandao huu wa jamii kuhusu hizi taasisi tatu ambazo zinatoa huduma mbovu kabisa kwa jamii
1.Startimes:napenda kuwashauri tu kuhusu kampuni hii ya ving'amuzi ni mbovu mno nimenunua kifurushi ni Siku ya tatu sasa Chanel hakuna na ukipiga makao makuu msaada pekee ni kuambiwa zima kisha washa baada ya dk 15
Bahati mbaya ni kwamba baada ya dk 15 hakuna huduma na ukipiga utaongea na mwengine hitimisho ni mwishoni mwa mwezi huu nitaangalia utaratibu wa kujiunga na king'amuzi kingine(azam zaidi au dstv)
2:Tigo .hawa kwa walioko kando kidogo ya mjini ni shida kwani huduma nyingi ni za kuhurumiwa kila saa network iko low.
3:Crdb hapa ni ushauri tu kwa wale ambao ni watumishi wa umma ukijiunga na Benki hii basi uwe mvumilivu kwani mshahara unaweza kupata hata 28 na 29 kutegemeana kama kuna sikukuu basi utapata baada ya Siku kuu na sioni kama wako njiani kushughulikia hili tatizo maana ni la mda sana.
Suruhisho
1:azam au dstv Ikishindikana DigiTech ingawa siwajui sana hawa DigiTech .
2:voda au airtel na sasa halotel hasa kama uko kando ya mji.
3:nmb wao huwa wako haraka kidogo ila kama unahisi huna haraka kabisa basi crdbd ni mahali pazuri lakini najua baada ya kuwa kazini utagundua unaharaka.