Taasisi imechezewa

Viranja wa kuisimmia wote wame SHATISHWA UP no bod.. is taking any action.
 
Taasisi ya urais haina heshima kabisa siku hizi. Imagine mwendazake Chivayo alikuwa anaweza akatoka atokako akaingia tu kwenye ikulu bila hata kugonga mlango 🤔
 

Attachments

  • downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 1
  • HTfERDXWIAE-a71.jpg
    124.6 KB · Views: 1
  • 3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    311.6 KB · Views: 1
  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 1
  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 1
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu
Majamaa yatakua yanamwambia bila sisi hizo kura fake ungezitoa wapi.
Yaani pale Rais amekaa tu kama tv remote wanayo hao jamaa anaosema Msigwa kuwa wanafaidika CCM kuwepo madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…