TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
utafiti wa taasisi ya tanzania development initiative programme(tadip) uliomtaja edward lowassa kuongoza dhidi ya dk john magufuli katika kinyang'anyiro cha urais umegubikwa na utata ikibainika taasisi hiyo ni mali ya chadema. Katika utafiti huo uliotangazwa na taasisi hiyo septemba 25, 2015, jijini dar es salaam , lowassa alipewa alama za ushindi kwa asilimia 54.5 na dk. Magufuli asilimia 40.
Baada ya matokeo ya utafiti wao huo, uchunguzi uliofanywa na gazeti la raia tanzania umebaini kwamba taasisi hiyo ya tadip ni mali ya chadema iliyoanzishwa mwaka 2006, ikifanya kazi maalumu ya kwa maelekezo ya chama hicho ambacho kwa sasa ndicho chama kikuu cha upinzani.
Uchunguzi zaidi umebaini kwamba taasisi hiyo ndani ya chadema , mkurugenzi wake wa kwanza ni aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini na naibu katibu mkuu wa chadema, zuberi zitto.
Mbali na uchunguzi wa raia tanzania, maelezo mengine yaliolifikia gazeti hilo yanadai kwamba, tadip ilichukua hatua ya dharura kutangaza utafiti huo ili kukabili ule wa taasisi mbili za twaweza na synovate, ambazo zilionesha lowassa kusidi kuelemewa na kupoteza umaarufu.
Kati ya mei na juni , mwaka huu, tadip ikifanya kazi za chama (chadema) iliendesha utafiti kujua kati ya aliyekuwa mgombea wake mtarajiwa , dk. Wilbrod slaa na wagombea wengine waliokuwa wakitajwa , akiwemo edward lowassa akiwa ndani ya ccm, nani zaidi. Barua ya kaimu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa tadip ya julai 26, 2015, george shumbusho, iliyoandikwa kwenda kwa katibu mkuu wa chadema, ilibainisha kuwa utafiti huo uliofanywa katika mikoa minne ya tanzania bara ulimpa nafasi kubwa dk. Slaa dhidi ya wanasiasa wa ccm, akiwemo lowassa.
Pichani(kushoto) ni george shumbusho akitangaza matokeo ya utafiti wa tadip , septemba 25 wiki iliyopita. Kulia ni shumbusho akionesha kushabikia chadema, picha hiyo imekuwa ikisambazwa mitandaoni na uongozi wa tadip umeikanusha.
Source: Raia tanzania.
View attachment 292241
UTAFITI wa Taasisi ya Tanzania Development Initiative Programme(TADIP) uliomtaja Edward Lowassa kuongoza dhidi ya Dk John Magufuli katika kinyang'anyiro cha urais umegubikwa na utata ikibainika taasisi hiyo ni mali ya CHADEMA. Katika utafiti huo uliotangazwa na taasisi hiyo septemba 25, 2015, jijini Dar es Salaam , Lowassa alipewa alama za ushindi kwa asilimia 54.5 na Dk. Magufuli asilimia 40.
Baada ya matokeo ya utafiti wao huo, uchunguzi uliofanywa na gazeti la Raia Tanzania umebaini kwamba taasisi hiyo ya TADIP ni mali ya CHADEMA iliyoanzishwa mwaka 2006, ikifanya kazi maalumu ya kwa maelekezo ya chama hicho ambacho kwa sasa ndicho chama kikuu cha upinzani.
Uchunguzi zaidi umebaini kwamba taasisi hiyo ndani ya CHADEMA , Mkurugenzi wake wa kwanza ni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, ZUBERI ZITTO.
Mbali na uchunguzi wa Raia Tanzania, maelezo mengine yaliolifikia gazeti hilo yanadai kwamba, TADIP ilichukua hatua ya dharura kutangaza utafiti huo ili kukabili ule wa taasisi mbili za TWAWEZA na SYNOVATE, ambazo zilionesha Lowassa kusidi kuelemewa na kupoteza umaarufu.
Kati ya mei na Juni , mwaka huu, TADIP ikifanya kazi za chama (CHADEMA) iliendesha utafiti kujua kati ya aliyekuwa mgombea wake mtarajiwa , Dk. Wilbrod Slaa na wagombea wengine waliokuwa wakitajwa , akiwemo Edward Lowassa akiwa ndani ya CCM, nani zaidi. Barua ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADIP ya julai 26, 2015, George Shumbusho, iliyoandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chadema, ilibainisha kuwa utafiti huo uliofanywa katika mikoa minne ya Tanzania bara ulimpa nafasi kubwa Dk. Slaa dhidi ya wanasiasa wa CCM, akiwemo Lowassa.
Pichani(kushoto) ni George Shumbusho akitangaza matokeo ya Utafiti wa TADIP , Septemba 25 wiki iliyopita. Kulia ni Shumbusho akionesha kushabikia Chadema, picha hiyo imekuwa ikisambazwa mitandaoni na uongozi wa TADIP umeikanusha.
Source: Raia Tanzania.
View attachment 292241
Na wewe ni MUHUNI...kwa kuwa unafanya uhuni....period!lowassa ni muhuni, taasisi ilyomnadi kuwa anaongoza kwa kukubalika kuliko wagombea wengine ni ya kihuni, na chadema iliyoanzisha na kuimiliki ngo hiyo ni wahuni, hivyo kuifanya ukawa nayo kuwa wahuni.
ndg mtanzania jaribu kuchukua hatua madhubuti ya kuwaepuka wahuni na uhuni wao usijekuligharimu taifa.
hata kama choo hakina hakina nzi na mende yeye ataingia nao
Hiko Choo Hakijajaa Kweli Mkuu Manake Huyo Jamaa AKISHUSHA MIKIMBA Yake Huwa Inafurisha Kama Anavyowafurisha Kila Mara Wapumbavu Na Malofa Wengi Wanaompenda Na Kumuamini.
UTAFITI wa Taasisi ya Tanzania Development Initiative Programme(TADIP) uliomtaja Edward Lowassa kuongoza dhidi ya Dk John Magufuli katika kinyang'anyiro cha urais umegubikwa na utata ikibainika taasisi hiyo ni mali ya CHADEMA. Katika utafiti huo uliotangazwa na taasisi hiyo septemba 25, 2015, jijini Dar es Salaam , Lowassa alipewa alama za ushindi kwa asilimia 54.5 na Dk. Magufuli asilimia 40.
Baada ya matokeo ya utafiti wao huo, uchunguzi uliofanywa na gazeti la Raia Tanzania umebaini kwamba taasisi hiyo ya TADIP ni mali ya CHADEMA iliyoanzishwa mwaka 2006, ikifanya kazi maalumu ya kwa maelekezo ya chama hicho ambacho kwa sasa ndicho chama kikuu cha upinzani.
Uchunguzi zaidi umebaini kwamba taasisi hiyo ndani ya CHADEMA , Mkurugenzi wake wa kwanza ni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, ZUBERI ZITTO.
Mbali na uchunguzi wa Raia Tanzania, maelezo mengine yaliolifikia gazeti hilo yanadai kwamba, TADIP ilichukua hatua ya dharura kutangaza utafiti huo ili kukabili ule wa taasisi mbili za TWAWEZA na SYNOVATE, ambazo zilionesha Lowassa kusidi kuelemewa na kupoteza umaarufu.
Kati ya mei na Juni , mwaka huu, TADIP ikifanya kazi za chama (CHADEMA) iliendesha utafiti kujua kati ya aliyekuwa mgombea wake mtarajiwa , Dk. Wilbrod Slaa na wagombea wengine waliokuwa wakitajwa , akiwemo Edward Lowassa akiwa ndani ya CCM, nani zaidi. Barua ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADIP ya julai 26, 2015, George Shumbusho, iliyoandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chadema, ilibainisha kuwa utafiti huo uliofanywa katika mikoa minne ya Tanzania bara ulimpa nafasi kubwa Dk. Slaa dhidi ya wanasiasa wa CCM, akiwemo Lowassa.
Pichani(kushoto) ni George Shumbusho akitangaza matokeo ya Utafiti wa TADIP , Septemba 25 wiki iliyopita. Kulia ni Shumbusho akionesha kushabikia Chadema, picha hiyo imekuwa ikisambazwa mitandaoni na uongozi wa TADIP umeikanusha.
Source: Raia Tanzania.
View attachment 292241
Kwa hiyo na TWANUNULIKA; zamani ikijulikana Kama TWAWEZA na Synovate zilizombeba Magufuli ni mali ya Magambaz CCM sio!?
TWAWEZA
Twaweza is an independent East African initiative that was established in 2009 by Rakesh Rajani, a Tanzanian civil society leader who founded HakiElimu and served as its first executive director until the end of 2007. Twaweza's approach and theory of change is built on the lessons from the HakiElimu experience, as well as wide ranging conversations across East Africa conducted through 2008 and a review of the literature. Hivos provided the incubation space for Twaweza's development, and currently houses the initiative before it becomes fully independent by 2014. Hivos is registered in Kenya, Tanzania and Uganda as a non-profit company (company limited by guarantee with no share capital).
Twaweza is supported by a consortium of five donors who provide long-term support towards the overall program. These are Sida, DFID, the Hewlett Foundation, SNV and Hivos. Twaweza provides one set of annual and half year reports to all its donors.
IPSOS SYNOVATE
Ipsos is a global market research company with worldwide headquarters in Paris, France. The company was founded in 1975 and has been publicly traded on the Paris Stock Exchange since 1 July 1999. Since 1990, the Group has created or acquired numerous companies throughout the world. In October 2011, Ipsos acquired Synovate, resulting in a newly combined Ipsos organization that ranks as the world's third largest research agency. As of 2014, Ipsos has offices in 87 countries, employing 16,530 people.
TADIP
TADIP ni mali ya CHADEMA iliyoanzishwa mwaka 2006, ikifanya kazi maalumu ya kwa maelekezo ya chama hicho ambacho kwa sasa ndicho chama kikuu cha upinzani.
Taasisi hiyo ndani ya CHADEMA , Mkurugenzi wake wa kwanza ni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, ZUBERI ZITTO.