Taarifa za kutoroshwa Ulimboka ni kweli?


Wewe ndiye hujui alipo na usiseme haijulikani alipo......
 
Dr Ulimboka kutoa sadaka za shukrani kanisani ni mahala pake kabisa maana kwenda MabwePande (lango kuu la CCM kusafirishia watu kwenda kuzimu) ni sawa na kutembelea jehanam siku tatu na kurejea katika uhai wa kawaida.

Hakika, nalipongeza hilo kwa dhati kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…