Taarifa za habari Tv za kibongo

Nashukuru nilidhani niko peke yangu!!
 
Kiukweli taarifa za habari za vyombo vya kwetu hapa hazivutii kabisa, ubunifu ni mdogo sana, huwa naangalia chaneli za Kenya hasa Citizen Tv, KTN na NTV, yaani unaenjoy na habari zao, ni wabunifu sana, yaani imekuwa sanaa kwao, na inasemakana kuwa watangazaji wa habari ni kati ya watu wanaolipwa vizuri kwa Kenya.

Kitu kingine ni kutokupatika online kwa chaneli za hapa ndani, kwa maendeleo ya teknolojia nilitegemea vyombo vikongwe kama ITV, STAR Tv, Chanel 10 na TBC vingekuwa vinapatika online, lakini wapi! Ukiangalia wenzetu karibu chaneli zao zote unaweza kuziangalia online. Tembelea hapa:Watch LIVE TV | KenyaMOJA.com

This is one of my favorite program at NTV kinaitwa Offside:
 
Last edited by a moderator:

ila TBC ni wabunifu sana, hasa kwenye kipindi chao pendwa cha CHEREKO. tbc wako juu.
 
Ni ukwel mtupu habari nyingi za bongo kichefu chefu make kila siku ni ajali na warsha... haipiti cku ni majanga tu...



Kuna tv moja ndo huwa inanichosha kabisa. Na mbali ya heshima iliyonayo lakini haipiti siku mbili kama sio kila siku wako busy na habari za mwenyekiti wa makampuni yake.
Utafikiri aliianzisha kwa ajili ya kumuonyesha yeye peke yake.
Ni majanga
 
Waandishi wenyewe form four F halafu unategemea weledi, jf ndio kila kitu kwangu
 

Usiangalie usichokipenda. wewe hangaika na hizo za baba zako wa Kenya. wewe unabeza cha kwenu na kutukuza cha wakenya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…