Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu Nimeangalia Taarifa za Fedha za Vodacom yenye Market share (Wateja wengi) kwa 31℅ ikifuatiwa na Tigo 29%
Nimeona Balance sheet ya Vodacom inaonesha ina Assets= Liabilities +Stockholders equity inaonesha ina 1,390,000,000,000/= Lakini Assets za Kampuni Kubwa kama TBL imezidiwa Assets na Vodacom TBL ina Assets Tsh. 889,000,000,000 kwa nimeona pia nimeona Kampuni Ina Madeni Mengi sana yanayofikia 220,000,000,000/=
Okay hilo si tatizo sana deni la 220,000,000,000 ni dogo sana kwa Kampuni yenye Assets za 1,390,000,000,000 haiwezi kufilisika kama ni Kweli.
Faida ya Vodacom
Mwaka 2014 ilikua sh.128,000,000,000 mwaka 2015 ilikua sh. 32,000,000,000
Mwaka 2016 ilikua sh. 29,000,000,000
Faida yao inaonekana ikiporomoka na hali iliyokaza wanaweza kupata faida ya 20,000,000,000.
Pia Kwenye Cash Flow walipata cash at the year end 129, 000,000,000
Wamesema wata tenga 50℅ yake kama Gawio la Wanahisa wake kwa faida ya inayozidi Kuporomoka na Sekta ya Mawasiliano projection inaonesha watakua wanafaida ndogo zaidi Jambo hili so kama wakipata Faida ya 20,000,000,000 ×50% wanahisa watagawiwa 10,000,000,000 tuu kwa idadi ya share walizo issue mmmh!! tunaweza kugawiwa sh. 20/= Kila mmoja.
Nahitaji watu wa Finance wanifafanulie Mimi ni Mtaalamu wa Historia ila nimeangalia Taarifa za Fedha za Vodacom nikaproject Profit yake nikaona nikiwekeza hakutakua na maximization of shareholders value.
Je Kampuni hata kama hai tengenezi Faida kubwa niende Kuwekeza wakati huo huo Companie's Act ya Mwaka 2002 inasema dividend itatokana na Faida iliyoipata kampuni lakini Pia sheria hiyo inasema Siyo Lazima Kulipa Gawio hivyo Board ya Wakurugenzi ndiyo imepewa Msumeno huo.
Nifafanulieni Katika Sector hii Mpya ya Uwekezaji ikiwa Halotel, Tigo, Airtel, Na TTCL iliyofufuliwa zikija juu Pia mwenye Utaalamu wa Masuala ya Fedha anieleze anavyoona Vodacom itakua na hali gani kwa miaka 3,4,5 ijayo ili niweke Mzigo.