Taarifa ya tahadhari ya mvua kubwa 17 hadi 18/04/2014

Taarifa ya tahadhari ya mvua kubwa 17 hadi 18/04/2014

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Maeneo yanayotarajiwa kuathirika:
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es Salaam.

Angalizo:
Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari pamoja na mamlaka zinazohusika na maafa, wanashauriwa kuchukua tahadhari

Chanzo: Mamlaka ya Hali ya Hewa

attachment.php


Wajameni taarifa kutoka Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania iliyotolewa mchana huu inasema leo saa 10 alasiri kutakuwa na mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24, ukanda wa pwani. Kwa milio mjini muanze kujipanga
 
wako vizuri sema ss wagumu kuelewa nn maaana ya utabir tunazan ni mazingaumbwee
 
Yaani patatulia kweli maana wengine huku tunahangaika kusomba maji nje yan hata mambo mengine hayaendi kabisa

Pole sn mkuu Japo nimecheka kdg.

Yani ishakua kazi sasa. Masika na yaishe walau tupumue
 
Hizi mvua zinasababisha idadi ya watu kuongezeka.
 
Back
Top Bottom