Taarifa ya Mchujo wa Jeshi la Zima Moto

Taarifa ya Mchujo wa Jeshi la Zima Moto

mzungu jw

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
290
Reaction score
33
Naombeni, mwenye taarifa za waliopita kwenye mchujo wa jeshi la zima moto au lini wanatangaza waliopita kwenye mchujo?
 
Kwa taarifa za ndani nilizopata jioni hii

wataanza ku highlight majina kuanzia jumatatu ya wiki ijayo.
 
Kuna ukweli hapo? kwasabbu deadline ilikuwa tar.1/2,ndio kusema barua zote zitakuwa zimefika?!
 
mbona mapema sana wadau, deadline ilikua trh1 feb inawezekana kweli wapitie barua zote na kupablish waliopita kwa siku5!!?? tuvute subira kidogo.
 
kwel lakn deadln ilikua tarehe moja mwez huu mara tayar mchujo
bax watakua wachapakaz hapa chamxng tujuzane tu humuhum JF
au kama kuna tovuti maalumu wanapoweka majina pia tuiweke hadharani
maana tangazo lao liliwekwa kwenye tovut ya wzara ya mambo ya ndani.
 
Hata mi nikashangaa barua za mikoani hata zingine hazijafika bana jamaa anaturusha roho aisee
 
Subira huvuta kheri.
Tuendelee kusubiri tu.
 
anaejua siku majina ya waliitwa kujinga na jeshi la zima moto na uokoajia tanzania
 
Ukiona kuna nyumba au kiwanda kinaungua, basi anza kazi mara moja wakija unawaambia ''nimetuma application yangu na kwa kweli naweza kazi, si mnaona?'' UNAULA FASTA HATA KABLA YA MAJINA KUTOKA.
 
Ukiona kuna nyumba au kiwanda kinaungua, basi anza kazi mara moja wakija unawaambia ''nimetuma application yangu na kwa kweli naweza kazi, si mnaona?'' UNAULA FASTA HATA KABLA YA MAJINA KUTOKA.

haya iwashe nyumba yako nijekuzima fasta
 
Back
Top Bottom