Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 715
- 646
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawajulisha wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni kuwa kutakuwa na matengenezo kinga katika Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mikocheni ili kuimarisha hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme.
Kutokana na uwepo wa matengenezo hayo baadhi ya wateja wa Mkoa wa Kinondoni watakosa huduma ya umeme.
Kutokana na uwepo wa matengenezo hayo baadhi ya wateja wa Mkoa wa Kinondoni watakosa huduma ya umeme.