taarifa ya kukosekana kwa Umeme kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa arusha

pinpilojr

Member
Jul 8, 2015
59
10
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA ARUSHA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Arusha kuwa mchana huu Februari 20, 2016 kifaa cha kukata umeme CIRCUIT BREAKER YA THEMI 1 Imeungua na hivyo maeneo ya Njiro yote, PPF Quarter, Nanenane na Viwanda vya Themi hayana umeme. Mafundi wa karakana ya umeme wapo site wanashughulikia tatizo. Umeme utarejea baada ya mafundi kurekebisha hitilafu hiyo.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom