taarifa ya katizo la Umeme kigamboni

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA


TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – KIGAMBONI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Wilaya ya Kigamboni kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:Alhamisi tarehe 25 Februari 2016

MUDA: Saa 03:00 Asubuhi hadi 12:00 jioni

SABABU: Kufunga kifaa cha kukata/kuwasha umeme (Auto recloser), Kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti inayokaribia laini ya msongo mkubwa wa umeme ya msongo wa kilovolti 33 ya Kigamboni

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yafuatayo yataathirika:-
Kata za Vijibweni, Tungi, Kigamboni, Mjimwema, Kibada, Kisarawe II, Somangila, Kimbiji, sehemu ya Kata ya Toangoma na maeneo ya jirani.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika,

Toa taarifa TANESCO kupitia namba Kitengo cha dharura Kigamboni: 0768383109, 0788499014 au Call centre namba 2194400 or 0768 985 100



Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom