sasa hao jwtz watawezaje
kuwapata wahusika??
ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni
uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta
mada/mchangiaji??
naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio
ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo
hawataki.