John kisomo
Member
- Jan 21, 2019
- 22
- 40
Kwanza nianze na kwa pole kwa wale waliowahi kuahidiwa kusaidiwa kufanya application bure, na hawakusaidiwa. Kwa mujibu wa kitabu cha The laws of power kuna moja inasema usije ukategemea kusaidiwa kazi yako kwa kutegemea huruma ya unayetaka akusaidie. Icho kitu hakipo.
Dirisha la scholarship liko wazi sasa kwa level ya Masters na PHD. Kada zote. Hizi scholarship pia hutangazwa na tcu, lakini kabla hujaomba kupitia tcu nenda kaulize kipaumbele cha mwaka huu ni nini?
Ukiomba kupitia tcu ni category A, na unapoomba chuoni moja kwa moja unatumia category ambapo wote mnaomba mnakua mnaomba ufadhili wa serikali ya watu wa china, njia ndio tofauti tuu. Ni kujaribu kuomba tuu, Tunaweza kukusaidia hatua moja hadi mwisho mpaka kuhakikisha form zako zimefika chuoni kutokea China. Lengo ni kuwasaidia Watanzania wengi zaidi waweze kupata hizi nafasi. Unapoomba direct hakuna kigezo cha GPA, muhimu uwe na gamba la ufaulu la Bachelor na transcript, wala vyeti vya four au six haviitajiki. Ni miongoni mwa scholarship ambazo hazina mlolongo mrefu kama zilivyo za Marekani na Ulaya maana cheti cha TOEFL sio lazima.
Vitu kama study plan au proposal kama hauna tunaeza kukusaidia kukuandikia maana zinahitajika pia, mfumo ni online wa application na mwisho ku submit hard copy.
Note: Kuna vyuo visivyo na application fee vingi na vichache vyenye application fee.
Tunasaidia mchakato kuanzia application mpaka ku submit form chuoni, utachangia garama ya kuprint form zako pamoja na kuzituma kwa njia ya express hapa ndani ya china garama ya 50,000. Tuu.lengo kuona watanzania wengi wanapata hizi fursa china.
Mastets ukifaniliwa kupata scholarship stipend ya mwezi ni
Madters=yuan 2500 sawa na laki nane na nusu
PHD= Yuan 3500 sawa na milion moja na laki moja.
Hizo ni pesa za kujikimu: hostel unalipiwa moja kwa moja na csc,
Ila kwa wanaopata mofcom wenyewe wanakua na nyongeza zaidi pia.
+8613164621057-whatsapp