Taarifa nyeti: Mbinu za wizi wa kura hizi hapa - PART 2

Kuna watu sijui wanawaza kwa kufikiri viungo gani vya mwili. Daftari lipo wazi na kila chama cha siasa kina haki ya kulipata. Sasa eti waache mikutano ya kampeni kuhangaikia daftari huu si ufedhuli kabisa?

Vituo hewa vya kupigia kura mwaka huu vitadoda! Kama daftari lipo safi mbona tume hadi leo hailitoi? Uchaguzi unatakiwa uwe huru na wa haki ili atakayeshinda afurahi na ajue kwamba kweli anapendwa na aliyeshindwa akubali bila kinyongo na ampongeze mshindi.Hayo mabao ya mkono mnayoyaandaa nakuthibitishia mwaka huu mtatafuta pa kuyafungia.
 
unavyoropoka sasa, utafkiri umetupia kitu cha jogoo

Vichaa ni mpo wengi sikushangai endelea na mzingaombwe yako piga deki barabara zote mpaka na mawingu na wiki ya mwisho ya uchaguzi mtaambiwa mvue nguo ili ushindi upatikane lakini ikulu hamuioni ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Vichaa ni mpo wengi sikushangai endelea na mzingaombwe yako piga deki barabara zote mpaka na mawingu na wiki ya mwisho ya uchaguzi mtaambiwa mvue nguo ili ushindi upatikane lakini ikulu hamuioni ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooo

basi poa fisi lao. uyo wa kwenu atafurama,abinue na mat*ko hatimaye atatinga na sidiria juu, mwisho wa siku atavaa hadi chupi kichwani lakini ikulu ataionea kwenye bomba, labda abaki kuwa rais wa ccm, sio wa jmt.tukutane tar 25. na tar 26 urudi hapa kutoa matokeo. na usije ukakimbia jf. Na mkome kulazimisha wafanyakazi kwenda kwenye fiesta zenu. alafu mbona nyinyi huwa mna hasira hivyo? twende mdogo mdogo, bado siku 10 tu. punguzeni jazba.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…