Taarifa kwa wale wote wa NACTE

Jaman hiv kuna possibility ya kuchaguliwa kwenye chuo ambacho hukuomba?
 
Binafsi profile haijachange but nimeingia kwenye website ya chuo nimekuta jina langu kuwa ni mmoja ya waliochaguliwa.
 
Binafsi profile haijachange but nimeingia kwenye website ya chuo nimekuta jina langu kuwa ni mmoja ya waliochaguliwa.

Mbona mim sijaiona Jina langu popote, alaf mbaya Zaid vyuo nilivyochagua vyote Tayar vimetoa majina, duuuh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…