hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
Mbona sie wengine neno reset choice limeondoka kulikon sasa?
Kama hamna sehemu reset kuna uwezekano mkubwa umechaguliwa, mfano mmi nimeona jina langu jordan, kwa hiyo punguzeni homa mambo yatakuwa poa
Mkuu ngoja nivute subira nione mambo yapoje
kama ndani haujaambiwa ureet choice inamaanisha umeshachaguliwa chuo kimoja wapo sema ndo hakijulikani ni kipi.Punguza presha
Mwenye active contact za nacte