Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 247
Umeongea kiingereza kigumu kiasi sijaelewa umeongea nini. Hizi lugha za watu ni wito.
Mimi naamini na ninashuhudiwa moyoni mwangu kwamba uonevu wa dhahiri unaofanywa na ccm na vyombo vyake vya dola ni dalili kuwa siku za chama hiki kuwa madarakani zinahesabika. Mungu ninayemwamini lazima atatenda kile kitakachobatizwa jina la 'maajabu ya dunia' pale ambapo chama kilichokaa madarakani tangu uhuru kitakapong'olewa kwa nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ya wabunge 23?
Kwani lazima uandike kiingereza? au ndio tayari? maana wengine Kiingereza hupanda pale tu wanapokuwa ya 5.
Ujasiri huu wa Lema ni wa mfano na wa kuigwa.Tummunge mkono tuikomboe nchi yetu.
Tuondolee takataka zako hapa.Unafikiri JF ni ya MATAHIRA kama wewe.Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa
Kwani lazima uandike kiingereza? au ndio tayari? maana wengine Kiingereza hupanda pale tu wanapokuwa ya 5.