Taarifa kwa umma: Wizara ya maliasili na utalii yafungua rasmi ofisi zake za Dodoma leo

Massivve

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
274
368
IMG_0910.JPG
 
UDOM imegeuka kuwa wizara sasa. Hivi hao watumishi waliobaki dar wakiwa na file lao au shida na katibu mkuu au waziri inakuaje. Kuna uwezekano mkubwa gharama zikaongezeka badala ya kupungua
 
Hongereni sana sasa mpo karibu na jamii pamoja na sehemu za kutoa huduma zenu. Dar ilikuwa mbali na mbuga zetu. Sasa hata Serengeti, Manyar, Ruaha, Ngorongoro ziko karibu.
 
UDOM imegeuka kuwa wizara sasa. Hivi hao watumishi waliobaki dar wakiwa na file lao au shida na katibu mkuu au waziri inakuaje. Kuna uwezekano mkubwa gharama zikaongezeka badala ya kupungua
Core function ya Wizara hii sio files za wafanyakazi wake.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
UDOM imegeuka kuwa wizara sasa. Hivi hao watumishi waliobaki dar wakiwa na file lao au shida na katibu mkuu au waziri inakuaje. Kuna uwezekano mkubwa gharama zikaongezeka badala ya kupungua
Kuna kitu inaitwa Image and workflow au images crossing borders...ni technolojia faster na cheaper...kwenye banks nyingi sikuhizi fomu za kufungulia account au mikopo zinasafirishwa kama image kutoka Dar hadi India na inapatikana haraka kushinda kuhamisha document kutoka ofisi ya waziri mkuu kwenda ofisi ya rais, Ikulu
 
Sasa ni kwamba mnamuogopa sana huyo boss huko magogoni inabidi kila waziri ahangaike kuhamia udom?
 
yan izo wizara zingejua zingekaa kimya tu maana hatufaiidiki chochote kutoka kwenu awamu hii madudu tu aaaaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom