Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
unamaanisha wale wa kile kituo cha redio kilichovamiwa na bashite?Kumbe hawafati sheria, haya wabadilike.
Namuona Kipanya kwa mbali na mihemko yake lazima pale Clouds mtu apondwe kichwaApa kuna kichwa kinatafutwa
Pale Clouds wenye vyeti wachache sana wengi ujanja ujanja tuHivi hizi tv na redio huwa zinawalipaje wafanyakazi wake. Mfano Clouds naona kipindi kimoja kina watangazaji mpaka 7. Hivi hawa watu wana mikataba ya kazi kweli au ndio uza sura uibuke na fursa ya kuwa na duka,celebrity uchwala kama gigy money nae nasikia ni mtanfazaji choice
unamaanisha wale wa kile kituo cha redio kilichovamiwa na bashite?
Na yeye ni nani? Director?No wonder ukiangalia kama NTV au KTN unaona hata field reporter tu ametulia ana proffessional attitude.
Ukitazama XXL wako kama 8 au 9 sasa sijui mshahara hata huyo mwajiri anautoa wapi wa kuwalipa. Naanza kuamini maneno ya Makonda sasa kwamba hawa ni waigizaji
How irrelevant you're. Yaani tangazo liko wazi kwa vyombo vya habari. Bandiko lako ni irrelevant kabisaMi sio mwanahabari,hili bandiko sidhani kama linanihusu,ila hata wakitangaza kinyume na kanuni na maadili kwangu bado hainihusu