Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,391
- 5,011
Hivi haya mambo ya kumpata makamu wa Rais hayawezi kufanyika baada ya kumpumzisha jemadari wetu alotangulia mbele ya haki ? Maana naona yanahamisha attention...Ni baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi mapema leo
Mkutano utafanyika ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam kuanzia saa nane mchana
You can walk and chew gum at the same timeHivi haya mambo ya kumpata makamu wa Rais hayawezi kufanyika baada ya kumpumzisha jemadari wetu alotangulia mbele ya haki ? Maana naona yanahamisha attention...
Anataka kuwajibu TLS!Anataka kutangaza kujiuzulu hiyo nafasi yake? Maana tunafahamu yeye ni ccm makinikia! Na siyo CCM ASILI kama Nape Nauye, na wenzake.
🙏Ni baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi mapema leo.
Mkutano utafanyika ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam kuanzia saa nane mchana.
Anahangaika sana huyuNi baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi mapema leo.
Mkutano utafanyika ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam kuanzia saa nane mchana.
AlisemajeWakuu, tupen updates za lumumba saa nane ndio hii, ya leo 20/03/2021
Kama alivyo sema H.PP