Taarifa kwa Umma: ACT-Wazalendo kufanya mkutano na waandishi wa habari

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
620
1,543
TAARIFA KWA WANAHABARI

Leo, Jumatano Januari 18/2017, viongozi Wa chama Chama ACT Wazalendo watakutana na waandishi Wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ya kitaifa.

Muda saa 5:00 asubuhi

Mahali:Makao makuu ya ACT Wazalendo yaliyopo Sayansi Jirani na kanisa la KKKT

Muhimu kuzingatia muda

Imetolewa na Abdallah Khamis
Afisa Habari ACT Wazalendo
17/01/2017
 
Asante kwa taarifa ila awamu hii ya tano nawaonea huruma waandishi wa habari viatu vitaisha kwa kupuyanga maana kila mtu anataka asikike Kila mtu anataka kumtoa nyoka pangoni lakini mkae mkijua katu hamtatudanganya kwa zama hizi za utandawazi waliweza/mliweza zamani.
 
Back
Top Bottom