Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,538
- 2,155
Namie "nitamchagua Chausiku 2020"Kwa kosa lipi?
Mtu kaandika nitamchagua membe may be awe mme au mkwe wake we unamkamata kwa lipi hasa!!
Au tunachaguliwa mpk watu wa kuamua kuwa nao kwenye mambo binafs!!
Mimi binafs ntamchagua Khantwe 2020!
Nawe chagua wa kwako mkuu tukajaze selo