Luge brown
Member
- Aug 6, 2017
- 66
- 146
Yaani waingie maandamanoni bila kuwa na facts??Hivi UDSM ndo imepoa to this extent kweliiiii????Enzi hizo kwa sisi tunayoifahamu UDSM,leo hii kungekuwa na maandamano ya kufa mtu kupinga upumbavu walioufanya hawa jamaa na si kuandika huu utumbo
Ile picha inayosambaa ko ni uhongo, na huyo dada ken picha yupo? Kama yupo mbona hapokei simu toka jana... Hapa nipo na watu wakozi moja nae na wana namba ake, na ni group disc meet wao....Aweke habar zilizo na Uhakika na Huyo dada Yupo ni mzima na sio Mwana UDSM anasoma NIT huyo
Tafadhari andika vizuri. Una maswali mazuri lakini haueleweki vizuri kwa wengi sababu ya uandishi.Ile picha inayosambaa ko ni uhongo, na huyo dada ken picha yupo? Kama yupo mbona hapokei simu toka jana... Hapa nipo na watu wakozi moja nae na wana namba ake, na ni group disc meet wao....
Andika vizuri ueleweke....unaandika kama unakimbizwa....unataka nani apokee cm aliepigwa risas au??Ile picha inayosambaa ko ni uhongo, na huyo dada ken picha yupo? Kama yupo mbona hapokei simu toka jana... Hapa nipo na watu wakozi moja nae na wana namba ake, na ni group disc meet wao....
Ilijipost mapema, ndio huyo aliepigwa risasi...... Mana hata wewe hujasema nikweli kapigwa risasi au la! Kama hajapigwa risas yupo wapi? Na kama kapigwa anaendeleaje...... Coz wengi wamepost kwamba kafariki... Ken magroup ya watssup ndo habari inayosambaa sana.......Andika vizuri ueleweke....unaandika kama unakimbizwa....unataka nani apokee cm aliepigwa risas au??
Sawa NIT, una uhakika ni mzima?Aweke habar zilizo na Uhakika na Huyo dada Yupo ni mzima na sio Mwana UDSM anasoma NIT huyo
Watakuja tena na lile neno" KATEKWA".haaaahaaaahaaaa hizi siasa Ut**OIlijipost mapema, ndio huyo aliepigwa risasi...... Mana hata wewe hujasema nikweli kapigwa risasi au la! Kama hajapigwa risas yupo wapi? Na kama kapigwa anaendeleaje...... Coz wengi wamepost kwamba kafariki... Ken magroup ya watssup ndo habari inayosambaa sana.......
Kwa maandishi haya na wew ni kiongozi hapo chuoni!Hizo ndo taarifa baada ya Kfatiria Viongoz wa serikal ya Wanafunzi
Kweli elimu haijakusaidia. Unaandamana bila kuwa na uhakika? Wao wanataka uhakika halafu mengine yafuata. Una akili za kukurupuka sana.Hivi UDSM ndo imepoa to this extent kweliiiii????Enzi hizo kwa sisi tunayoifahamu UDSM,leo hii kungekuwa na maandamano ya kufa mtu kupinga upumbavu walioufanya hawa jamaa na si kuandika huu utumbo
Vyama vinahusikaje hapa mkuu ... CHADEMA sihami napoUlivyoweka tu neno Mange kimambi bhasi najua hii taarifa ina ukweli, na wewe uliepost hii habari ni mnufaika wa ccm